Utoto mtakatifu wa yesu wa parokia ya bikira maria mama wa shauri jema mbulu wakiwa na baba paroko
Mapokezi yalifanyika mpakani mwa jimbo katoliki la kahama, parokia ya moyo mtakatifu wa yesu kaniha. eneo hili pia lipo mpakani na jimbo katoliki la rulenge- ngara.
Askofu mteule akibusu ardhi ya jimbo katoliki la kahama.
Karibu parokiani kwetu, matangazo na matukio mbalimbali utapata hapa
Parokia ya bikira maria mama wa shauri jema.
Kaa karibu na ukurasa huu kwa habari na matangazo ya parokia yetu.
Miradi yetu
Majitoleo ya waumini siku ya ijumaa kuu kwenye njia ya msalaba saa tatu asubuhi.
Kamati ya maandalizi ya harambee ya parokia, kikao kilifanyika marex
Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya harambee wakiwa na baba paroko, padre peter kadundu, vicar general.
Matembezi ya msalaba kigango cha mondo
Matembezi ya msalaba kigango cha mondo wakiwa na vicar general, fr. peter kadundu wa parokia ya bikira maria mama wa shauri jema.
Ujenzi wa nyumba ya mapadre
Ujenzi wa nyumba ya mapadre
Matembezi ya baba askofu parokiani mbulu kwa ajili ya kipaimara
Nunc commodo lacinia ipsum, scelerisque cursus libero ullamcorper sed. Praesent fermentum nisl ac neque tristique porttitor.
Ukurasa wa matangazo mbalimbali ya kanisa, maelezo mafupi kuhusu matangazo..
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanjaribu kwa njia hiyo,sema BWANA wa majeshi;mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha,au la.
Mkristo anaweza kuomba misa!
Phone: 0755042405
Email: info@mbuluparish.or.tz
Website: https://atlais.org