.
Kigango hiki kipokusini mashariki kutoka makao makuu ya parokia karibu kabisa na barabara ya kwenda Isaka, umbali wa km 15. ni kigango kinacho pakana na parokia ya Kagongwa na Bumbiti na Chap.
kikango hiki kipo km 12 upande wa Kaskazini Mashariki mwa Makao makuu ya Parokia. kukifikia kigango hiki unapi sanjari mwa ukuta wa SAS Mwendakulima..
Kigango hiki kipo mkabala na Buzwagi kikiwa pia kipo upande wa kaskazini mashariki toka makao makuu, km 8 kukifikia kigango hiki..
Kigango cha Mwanzwagi kipo Kaskazini Mashariki toka makao makuu ya parokia, umbali wa km 18.kukifikia kigango hiki unapita kigango cha Mondo, ikiwa kigango hiki kipo kaskazini mwa kigango cha.
kigango kipo mashariki mwa makao makuu ya parokia., kipo kilometa 12 , ukiwa unaelekea barabara ya Isaka, hakiko mbali sana toka barabara ya rami, ukiwa unaelekea Isaka kutoka makao makuu wa.